Labels

smash. Powered by Blogger.

Social Icons

Social Icons

Featured Posts

Monday, April 29, 2013

BARNABA ATIMUA MBIO BAADA YA KUFUMANIWA AKIWA NA SHILOLE

http://3.bp.blogspot.com/-Dul_G1CKpIs/UI5tCDyFy7I/AAAAAAAAAMw/lOs4HCazIZ0/s1600/shilole1+copy.jpg
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa hakuna kinachoweza kumtenganisha na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Elius Barnabas ‘Barnaba’ kwani walikotoka ni mbali......
Shilole na Barnaba hivi karibuni walinaswa maeneo ya Coco Beach wakila bata lakini baada ya kuwaona mapaparazi wakizunguka kutafuta matukio, Barnaba alitimua mbio na kumuacha Shilole ambaye bila hiyana alitiririka:
“Jamani mimi na Barnaba hakuna cha kututenganisha japokuwa watu wanachonga sana hata kuandikwa kwenye magazeti lakini bado tunaendelea tu, hivyo najua hakuna mtu anayeweza kututenganisha.”

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

ENJOY OUR BLOG FOR MANY THINGSan>

Blogroll

http://sites.google.com/a/bloggertipspro.com/mediafiles/mp3/Future%20Gladiator.mp3" pluginspage="http://www.macromedia.com/go/getflashplayer" quality="best" src="http://www.google.com/reader/ui/3523697345-audio-player.swf" type="application/x-shockwave-flash" wmode="transparent" height="27" width="400">

About

smash hb.blog in Swahili and English