Labels

smash. Powered by Blogger.

Social Icons

Social Icons

Featured Posts

Wednesday, May 1, 2013

SABABU ZA JACKILNE WOLPER KUITWA "WOLPER GAMBE"

WOLPER GAMBE STYLE

 Jina la Wolper Gambe limetoka wapi? Gambe maana yake pombe kama bia na vitu vingi vingine, hiyo ndiyo iliwapa watu kadhaa hamu ya kujua kwanini anajiita hivyo baada ya kuona hadi ndinga yake kaitupia jina hilo kwa upande wa nyuma. Wolper huyu hapa anafunguka kuhusu hilo jina,.......
”Mwanzo watu walibadirisha wimbo wa yule mkorea PSY..ukimsikiliza anavyoimba inasikika Opa gangnam style, ikabadilishwa na kuwa Wolper gangnam style kwasababu ina sound sawasawa. Lakini baadae wakabadilisha zaidi na kuimba Wolper gambe style unajua jinsi neno gambe lilivyo maarufu na raisi kulitumia hapo lina sound poa. Sasa wimbo ulivyoanza ku-kick zaidi ndiyo na jina likawa  kubwa zaidi,”
Kinyumbani nyumbani tushazoea kupeana majina kutokana na tabia au vitu vyetu..mfano Hamisi chizi,Mwajuma ndalandefu…sasa unaonajeo  kwa Wolper. Unadhani mwanadada ni mtu wa mtungi a.k.a Gambe kwa sana ndiyo maana hilo jina likaja.

0 comments:

Post a Comment

 

Blogger news

ENJOY OUR BLOG FOR MANY THINGSan>

Blogroll

http://sites.google.com/a/bloggertipspro.com/mediafiles/mp3/Future%20Gladiator.mp3" pluginspage="http://www.macromedia.com/go/getflashplayer" quality="best" src="http://www.google.com/reader/ui/3523697345-audio-player.swf" type="application/x-shockwave-flash" wmode="transparent" height="27" width="400">

About

smash hb.blog in Swahili and English